Duniani

VIDEO: Orodha ya 2017 ya nchi 10 zenye magari ya kifahari ya Polisi duniani

on

Kila nchi inatumia fedha nyingi kwenye vifaa ambavyo vinatumika kwa ajili ya ulinzi na usalama wa nchi na raia wake lakini hizi nchi zimeenda mbali zaidi kwa kununua magari ya polisi ambayo mara nyingi tulizoea kuyaona yakitumika na matajiri kwenye matanuzi.

10. Marekani, Dodge Charger gharama yake ni dola 46,000 sawa na takribani Tsh Milioni 102.44

9. Australia-Lotus Exige, gharama yake ni dola 84,300 sawa na takribani Tsh Milioni 187.73

8.AustriaPorsche 911, gharama ni Dola 99,000 sawa na takribani Tsh Milioni 220.47

7.Abu Dhabi-Nissan GT-R, Gharama yake ni dola 100,000 sawa na takribani Tsh Milioni 222.70

6.QatarPorsche Panamera gharama yake ni dola 175,000 sawa na takribani Tsh Milioni 389.72

5. Afrika KusiniLamborghini Gallardo, gharama yake ni Dola 248,000 sawa na takribani Tsh Milioni 552,29

4. Italy-Lamborghini-Gallardo, gharama yake ni dola 248,000 sawa na takribani Tsh Milioni 552.29

3.England-Lamborghini Murcielago, gharama yake ni Dola 380,000 sawa na takribani Tsh Milioni 846.26

2.Ujerumani- Mercedes Benz Brabus Rocket CLS, gharama yake ni dola 580,000 sawa na takribani Tsh Bilioni 1.2

1.United Arab Emirates – Dubai bado wameendelea kushika namba moja kwa magari ya kifahari kutumiwa na idara ya Polisi, hii ni Bugatti Veyron, gharama yake ni dola milioni 2.5 sawa na takribani Tsh Bilioni 5.56

ULIKOSA? Matano ya kufahamu kama una gari lenye Tinted Tanzania, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments