Duniani

VIDEO & PICHA 8; magari yenye uwezo wa kupaa kama ndege

on

Najua umezoea kuona magari yanayotumika barabarani mtu wangu ila leo July 30 2016 nakusogezea magari yenye uwezo wa kupaa kama ndege ambayo tayari yanatumika katika nchi  kama Massachusetts Marekani  na Slovakia Hungary.

Mtu wangu nakusogezea Video na Picha ya magari haya na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment hapo chini.

ffff

flng

flying

flyingcars11

04-terrafugia-flying-car-ny (1)

road-going-plug-in-hybrid

t

terrafugia_tf-x_01

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA HUDUMA MPYA YA USAFIRI WA TRENI KUANZA DAR? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments