Nguvu ya mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu kutengeneza zaidi bidhaa zenye jina lake na kuziuza kwa Watanzania inaendelea kuonekana, ni juzijuzi tu alileta lipstick zenye jina la KISS BY WEMA.
Sasa leo August 16 2016 kupitia millardayo.com & Ayo TV kazungumzia kuhusu bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na kuyaongea haya>>>Mimi naweza kusema kwamba idea imetoka kwa Mama kwamba anapenda sana vitu vya asili ukienda nyumba kwa Mama yangu utakuta viatu vyake vingi vya kimasai na hii ni idea yake’
‘Baada ya hapo tukaanza kutafuta Jinsi ya kutengeneza za kwetu mwisho wa siku tukapata sample nzuri kwahiyo ni kitu ambacho nimemfanyia Mama yangu’- Wema
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Wema akizungumzia bidhaa yake mpya
ULIIKOSA JINSI KILIVYOHAPPEN KWENYE SHOW YA VIGOMA ESCAPE 1 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA