Michezo

PICHA: Mtibwa Sugar Mabingwa wapya wa kombe la ASFC

on

Jumamosi ya June 2 2018 mchezo wa fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup ulichezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kwa kuzikutanisha timu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani na Singida United ya Singida.

Mchezo huo Singida United ambao walikuwa wanatajwa kujiamini zaidi ya Mtibwa Sugar, wamekutana na kipigo cha magoli 3-2 kutoka kwa Mtibwa Sugar ambao magoli yao yalifungwa na Kihimbwa, Issa na Ismail wakati magoli ya Singida yamefungwa na Salum Chuku na Kutinyu.

AyoTV ilivyomnasa staa wa zamani wa Liverpool Airport KIA

Soma na hizi

Tupia Comments