Habari za Mastaa

Sio kwamba Keisha hajui watu wamemmiss bongoflevani

on

Ukiwauliza mtaani nani na nani wamemisika bongoflevani nina uhakika na jina la Keisha halitokosekana, Watanzania waliruka nae toka time hizo yuko Tiptop Connection na sasa ni solo Artist.

Amekutana na millardayo.com & AyoTV na kusema amemaliza chuo CBE alikokua akichukua Bachelor Degree in Procurement & Supply Management iliyochukua miaka mitatu na anategemea matokeo yatakua mazuri.

Kuhusu kazi zangu za muziki kwasasa niko kwenye mapumziko kwa ajili ya kutuliza kichwa unajua nimeingiza vitu vingi na nilikuwa na vitu vingi sana na ndio maana nakosa muda wa kufanya lakini soon nitarudi kwenye muziki‘- Keisha

Msikilize zaidi Keisha kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII YA JOKATE KAKAMILISHA HILI KWENYE SHULE YA SEKONDARI JANGWANI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments