AyoTV

Video: Viongozi na Mastaa waliosafiri hadi Bukoba kumzika Ruge Mutahaba

on

Ni Machi 4, 2019 ambayo Viongozi na Mastaa mbalimbali kutoka tasnia ya muziki na Filamu walifunguka safari mpaka mkoani Kagera Bukoba kijiji cha Kiziru kumzika Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.

Unaweza ukaitazama hii video hapa ujione sinsi walivyouwaga mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba Katika viwanja vya Gymkhana Manispaa ya Bukoba.

Soma na hizi

Tupia Comments