Top Stories

Utafiti: Inashauriwa kunywa vikombe 4 vya kahawa kwa siku…….sababu?

on

Kunywa vikombe angalau vinne kwa siku kunaripotiwa kuwa na uwezo wa kuongeza siku za kuishi kwa kupunguza hatari za kufa mapema kwasababu kahawa huboresha utendaji kazi wa ini. na kuupa nguvu zaidi mfumo wa kinga ya mwili.

Utafiti uliofanywa na wanasayansi nchini Marekani unaonesha kuwa kunywa vikombe viwili zaidi hupunguza uwezekano wa kifo kwa mapema kwa 22% na kwa wale watumiaji wa vikombe vinne vya kahawa  kila siku wana hatari ndogo sana ya vifo hivyo ukilinganisha na wasiotumia kahawa kabisa kwa 22%.

Kahawa inatajwa kubeba misombo yaani ‘compounds’ ambazo huwa na athari chanya katika mwili wa binadamu.

Uliiona hii? BOMOABOMOA DSM: Bibi kaongea ‘Kiingereza’ kusisitiza huzuni

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments