Ni Mei 25, 2023 ambapo GSM Group imejumuika na Mabalozi, Viongozi, wadau mbalimbali na wadhamini wenza katika kusherehekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Afrika duniani.
Kauli mbiu ya mwaka huu inalenga kuboresha biashara huru kwa maendeleo ya Afrika na Wananchi wake kwa ujumla.
Kama wadau wakubwa wa biashara Tanzania tuna furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya adhimu.