Kampuni ya GSM kupitia Duka lake la GSM HOME Mikocheni Jijini Dar es salaam, imetangaza punguzo kubwa la bidhaa la hadi asilimia 90 kwa bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Duka hilo kwa bidhaa zote ikiwemo vyombo vya majumbani na fenicha.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa GSM Omary Nyembo ( @OmmyDimpoz ) amesema hii ni nafasi ya kipekee katika SALE hii kubwa ambayo haipatikani popote pengine isipokuwa kwenye duka la GSM HOME Mikocheni kuanzia saa kumi na moja jioni leo Ijumaa September 27 na itaendelea hadi October.
View this post on Instagram