AyoTV

GSM imeahidi dongo nono Yanga iifunge Simba SC

on

Kampuni ya GSM chini ya Rais wa Ghalib Said imeripotiwa kuwa imeahidi club ya Yanga SC ambao inawadhamini kuwa itatoa bonansi ya Tsh Milioni 50 kama timu hiyo itaifunga Simba SC.

Game ya Simba SC na Yanga SC itachezwa wiki ijayo ya January 4 2019 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, kutokana na hamasa na ukubwa wa mchezo huo GSM imeamua kutoa dau hilo ikiwa ni mara tano kutoka bonansi yao ya Tsh milioni 10 wanayoitoa kila mechi Yanga ikishinda.

VIDEO:MASHABIKI WAMSHAWISHI NUGAZ AMPIGE KIJEMBE MANARA

Soma na hizi

Tupia Comments