Michezo

GSM Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi Taifa Stars

on

Rais wa TFF Wallace Karia amemteua Ghalib Said Mohamed (GSM) kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars, Makamu Mwenyekiti Salim Abdallah, katibu wa kamati hiyo ni Eng Hersi Said.

Wajumbe wa kamati hiyo ni Abdallah Bij Kleib, Anitha Rwehumbiza, Beatrice Singano, Christine Manyenye, Farid Nahdi, Feisal Abri, Farough Baghozah, Haji Manara, Jerry Muro, Mohamed Nassor, Nandi Mwiyombella, Patrick Kahemele na Philemon Ntahilaja.

Kamati hiyo imelenga kusaidia hamasa na ushindi kwa Taifa ili kuiwezesha kufuzu tena michuano ya AFCON kwa kushinda mechi zake za kuwania kufuzu ikiwemo dhidi ya Tunisia.

Soma na hizi

Tupia Comments