Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: Ghalib wa GSM afika kwenye jumba la wanyama lililowahi kutembelewa na mastaa wakubwa Duniani
Share
Notification Show More
Reading List
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 23, 2023
January 23, 2023
Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023
January 21, 2023
Habari kubwa za Magazetini Kenya leo January 19, 2023
January 19, 2023
Mahakama imemuhukumu kunyongwa hadi kufa, kukutwa na hatiani kosa la kumuua mkewe
January 17, 2023
Ben Pol ametuletea hii single mpya ‘Wewe’ isikilize hapa
January 17, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 11, 2023
January 11, 2023
Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Ikulu, amteua Mululi Mahendeka
January 5, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 3, 2023
January 3, 2023
Baba, Mama, Watoto 4 wafariki ajalini, gari yao nyang’anyang’a (+video)
January 2, 2023
Rufaa ya Shaffih Dauda yagonga mwamba TFF
December 19, 2022
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Picha: Ghalib wa GSM afika kwenye jumba la wanyama lililowahi kutembelewa na mastaa wakubwa Duniani
Top Stories

Picha: Ghalib wa GSM afika kwenye jumba la wanyama lililowahi kutembelewa na mastaa wakubwa Duniani

January 20, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Humaid Abdulla Albuqaish ni raia wa Dubai ambae umaarufu wake ameupata baada ya kuishi na wanyama wakali ambao kikawaida si rahisi huku Dunia ikibaki kujiuliza maswali pasipo na majibu. 

Humaid amejizolea umaarufu mkubwa baada ya mastaa kutoka kwenye mataifa mbalimbali kufika katika jumba hilo kushuhudia wanyama hao huku wakipiga nao picha kama ishara ya kumbukumbu.

Na inaelezwa Miongoni mwa mastaa waliofika katika jumba hilo akiwemo Mwigizaji Van Damme, Winga wa Aston Villa Philippe Coutinho, Akon, pamoja na msanii wa Marekani Dababy.

View this post on Instagram

A post shared by Humaid Abdulla Albuqaish🇦🇪🇧🇷 (@humaidalbuqaish)

View this post on Instagram

A post shared by Humaid Abdulla Albuqaish🇦🇪🇧🇷 (@humaidalbuqaish)

Mbali na kwamba kwasasa ndio Raia pekee Dubai mwenye uwezo wa kuishi na wanyama huku akicheza na wanyama hao wa hatari akiwemo Simba, Chui na wengineo sasa leo January 20, 2023 ametembelewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya GSM, Ghalib Mohamed pamoja na familia yake.

Hizi ni baadhi ya picha zikimuonesha Mkurugenzi wa Kampuni ya GSM, Ghalib Mohamed akiwa na wanyama wakali baada ya kutembelea imaya ya Raia huyo huko Dubai almaarufu kama AL BUQAISH PRIVATE ZOO.

.

.
.Ommy Dimpoz pia ni miongoni mwa mastaa waliowahi kufika katika jumba hilo lenye wanyama mbalimbali
.

.

You Might Also Like

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

Edwin TZA January 20, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 21, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?