Video Mpya

VideoMpya: Huyu hapa Irene Robert anakukaribisha kuitazama ‘Kishindo’

on

Kutoka Rocky City Mwanza anaitwa Irene Robert upcoming staa kwenye Muziki wa Injili ambaye leo October 2, 2018 nakusogezea video ya wimbo wake unaitwa ‘Kishindo’.

Irene Robert ameanza kuimba mwaka 2017 na hadi sasa ana nyimbo tatu ambazo zimekamilika audio na video na ziko Youtube kwenye account yake na anasimamiwa na Fabian Fanuel.

Waliokanyaga fedha kwenye video ya ‘IOKOTE’ wafikishwa mahakamani

 

Soma na hizi

Tupia Comments