AyoTV

VIDEO: Waliofukiwa mgodini Geita waongea, aliyeongoza Sala, walioomba Sigara na mengine

on

Habari kubwa miongoni mwa 10 kubwa za mwanzoni mwa mwaka 2017 Tanzania ni pamoja na hii ya Wachimbaji 15 wa madini Geita walionusurika kifo baada ya kufukiwa Mgodini kwa zaidi ya saa 70 lakini wakasalimika.

Chakula lilikua tatizo, mbinu zote za kujiokoa ziligonga mwamba, ilikuaje mpaka wakaanza kusali? maji ndio kitu pekee walikiingiza tumboni, yalitoka wapi? kuna ambao waliomba washushiwe Sigara na vingine….. majibu yote haya yapo kwenye hizi video hapa chini

Baada ya jitihada za kujiokoa kugongwa Mwamba, huyu ndio aliwaongoza wenzake kusali

Mama aliyelala nje kusubiria Mtoto wake aliyefukiwa chini Mgodini

Wakuu wa mkoa na wilaya Geita walivyowatembelea Hospitali watu 15 walionusurika kwenye Mgodi uliofukiwa

Soma na hizi

Tupia Comments