Breaking News

BREAKING: Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto

on

Habari iliyonifikia asubuhi hii ya leo August 26, 2017 ni kutoka Dar es Salaam zinahusu Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto alfajiri ya leo.

Ofisi hizo zipo Upanga, Dar es Salaam ambapo chanzo hakijafahamika hadi sasa…Ayo TV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia na zitakujuza kila updates kuhusu tukio hilo.

Hatma ya wale Wabunge 8 waliofutwa CUF imejulikana…tazama hapa!!

Soma na hizi

Tupia Comments