Mix

VIDEO:Aliempiga Francis Cheka kapewa shavu hili na DC Jokate Mwegelo

on

Ni bondia Dulla Mbabe ambae mnamo Dec 26, 2018 ailingia kwenye headlines kwenye mchezo wa ngumi baada ya kumpiga nguli, Francis Cheka kwenye ukumbi wa TPA Sabasaba Dar es Salaam.

Sasa good news nyingine ninayokusogezea ni leo baada ya bondia huyo kufika katika ofisi za Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo na kuahidiwa atapewa shavu la kuwafundisha watu mbalimbali hususa mchezo wa ngumi wilayani hapo.

Soma na hizi

Tupia Comments