AyoTV

Afisa habari wa Azam FC amekiri ni changamoto kucheza na Simba Taifa

on

Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC utakaochezwa uwanja wa Taifa Jumamosi ya August 17 2019, afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi Maganga ameeleza umuhimu wa mchezo huo na changamoto watakazokutana nazo katika mchezo huo.

Jafari anakiri kuwa hautokuwa mchezo mwepesi lakini pia ni aina ya mchezo ambao unahitaji sana mashabiki uwanjani na kutokana na ukubwa wa Simba SC, anajua changamoto kubwa itakuwa ni idadi ya mashabiki wa Simba SC ndani ya uwanja huo.

VIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS

Soma na hizi

Tupia Comments