AyoTV

Makamu wa Rais wa TFF baada ya kuwapokea Sevilla FC

on

Miongoni mwa watu waliokuwa wamejitokeza kuipokea timu ya Sevilla FC ya Hispania ni pamoja na Makamu wa Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Athuman Nyamlani na baada ya kuipokea timu hiyo aliongea na waandishi wa habari kuhusiana na ujio wa timu hiyo nchini Tanzania kwa ajili ya kukipiga dhidi ya Simba SC May 23 2019.

Mapokezi ya Sevilla Tanzania waliokuja kukipiga na Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments