AyoTV

VIDEO: Wanene watangaza timu yao akiwemo director Hanscana……

on

Ni headlines za Wanene Entertainment July 29,2016 wamezindua rasmi studio zao za kisasa zetu gharama kubwa zilizosheheni mitambo ya kisasa.Miongoni mwa wageni waliohudhuria uzinduo huo alikuwa ni Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura.

Itazame hii video hapa jinsi ilivyokuwa

ULIIKOSA HII YA JAY MOE KUELEZA SABABU ZA PESA MADAFU KUFANYIKA SOUTH AFRICA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments