Top Stories

Miss Kinondoni 2019 ‘Hatuangalii uzuri, tunaangali heshima”

on

Muandaji wa Miss Kinondoni 2019 Nancy Joseph amekaa kwenye mahojiano na Ayo TV akiwa na jumla ya warembo 18 ,amefunguka na kusema kuwa kamati yake imejipanga kuhusiana na swala zima la zawadi pamoja na kuchagua Miss Kinondoni anayefaa kwa mwaka huu.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza muandaji huo mwanzo mwisho.

AUDIO: HATIMAYE MIRIAM ODEMBA KAZINDUA FOUNDATION YAKE, KAZUNGUMZA ITAKAVYOFANYA KAZI

Soma na hizi

Tupia Comments