Michezo

Safari imeiva Cape Verde, Erasto, Ajib na Kichuya hawamo Taifa Stars

on

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike leo September 27 2018 ametangaza kikosi cha wachezaji 30 wataounda kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mchezo dhidi ya Cape Verde October 12 na baadae kurudiana uwanja wa Taifa October 16 .

Kocha Amunike kutokana na uzito wa mchezo huo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 yatakayofanyika nchini Cameroon, ameongeza jumla ya wachezaji watano kutoka 25 aliyokuwa amewaita kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda uliyochezwa Kampala.

Hii ndio list ya wachezaji 30 walioitwa jina la Erasto Nyoni, Ajib na Kichuya hawajaitwa safari hii.

MAGOLIKIPA

1- Aishi Manula Simba SC

2- Beno Kakolanya Yanga SC

3- MO Abdulahman JKT Tanzania

MABEKI

4- Hassan Kessy Nkana FC

5- Shomary Kapombe Simba SC

6- Salum Kimenya Prisons

7- Gadiel Michael Yanga SC

8- Andrew Vincent Yanga SC

9- Paul Ngalema Lipuli FC

10– Ally Sonso Lipuli FC

11- Aggrey Moris Azam FC

12- David Mwantika Azam FC

13- Abdallah Kheri Azam FC

14- Kelvin Yondani Yanga SC

15- Abdi Banda (Baroka FC)

VIUNGO

16- Himid Mao Petrojet

17- Simon Msuva El Jadida

18- Mudathir Yahaya Azam FC

19- Frank Domayo Azam FC

20- Jonas Mkude Simba SC

21- Feisal Salum Yanga SC

22- Salum Kihimbwa Mtibwa Sugar

23- Farid Musa Tenerife

WASHAMBULIAJI

24- Mbwana Samatta KRC Genk

25- Thoma Ulimwengu Al Hilal

26- John Bocco Simba SC

27- Yahya Zayd Azam FC

28- Kelvin Sabato Mtibwa Sugar

29- Rashid Mandawa BDF XI

30- Shaaban Chilunda Tenerife

JB na Ray “Hata Yanga wao wanajua Simba ana timu bora”

Soma na hizi

Tupia Comments