AyoTV

Video: Wasanii wa THT walivyomlilia Ruge Mutahaba na kutoa heshima ya mwisho

on

Ni wasanii kutoka zao la Tanzania House of Talent (THT) ambao walikuwa wakisimamiwa na Mkurungenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, sasa leo Machi 4, 2019 walipanda jukwaa la Gymkhana Mkoani Kagera kutoa heshima ya mwisho kwa mpendwa wetu Ruge Mutahaba.

Soma na hizi

Tupia Comments