August 27, 2017 Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika ‘TLS’ Tundu Lissu kupitia Baraza la Uongozi wa chama hicho alitanga mgomo akiwataka Mawakili wote ambao ni wanachama kususia kwenda Mahakamani August 29 na 30, 2017.
Zoezi hilo limeanza leo lakini licha ya Mawakili wengi kugoma, baadhi yao wameonesha wazi kutokuwa tayari kususia huku wakitoa baadhi ya sababu wakisema hakuna sababu ya msingi kugoma na wengine wakidai kuwa na wateja walioingia nao mikataba.
“Mawakili wasusie kwenda Mahakamani” – Tundu Lissu
WAKILI AMPINGA TUNDU LISSU: Ni kuhusu ule mgomo wa Mawakili alioitisha
MBUNGE MSUKUMA: Kamjibu tena Lissu kuhusu mgomo wa Mawakili