Video Mpya

VideoMPYA: Nyingine kutoka record label ya Kings Music ya Alikiba ‘Toto’

on

Baada ya staa wa Bongofleva Alikiba kutambulisha record label yake ya Kings  Music yenye wasanii Cheed, Killy, K-2GA pamoja na mdogo wake Abdukiba, leo wameidondosha video mpya kutoka record label hiyo, Bonyeza PLAY kutazama dakika 3 na sekunde 50 za video hiyo.

ALIKIBA ATANGAZA KUMLETA VYONNE CHAKACHAKA KATIKA TAMASHA

Soma na hizi

Tupia Comments