Habari za Mastaa

Headlines za Rais Magufuli zimemgusa mpaka mchekeshaji Eric Mondi…

on

Ni mchekeshaji kutoka Kenya Eric Mondi ambaye vichekesho vyake vimefikia mpaka mataifa nje ya Kenya, sasa pamoja na kwamba anadili sana na uchekeshaji haimaanishi kwamba afuatilii siasa, ameanza kuzifatilia siasa za Tanzania kwa ukaribu zaidi baada ya kusikia kuhusu Rais Magufuli.

Kwenye Exclusive Interview na millardayo.com & AyoTV  amesema ‘Magufuli ni tofauti bhana, Magufuli anajaribu kuleta utofauti kwa ma rais wengine waliopita unajua waafrika lazima tuwe na maendeleo’- Erick Mondi

‘Ndio maana rais Magufuli anataka wananchi wake wapate haki na sheria ifuatwe, Magufuli namfananisha na Obama maana yake tabia zao mwenendo zao ni zile za utumishi kwa watu wao’ Erick Mondi

Msikilize zaidi Erick Mondi kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII YA IDRIS SULTAN ALIVYOVUNJA MBAVU WATU KWENYE FUNNY FELLAS BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments