AyoTV

Rostam na Maua Sama wafunguka juu ya show ya tarehe 31 DAR LIVE

on

Kama utakuwa unakumbuka mwaka 2016 msanii wa Hip Hop Roma aliandika historia ya burudani katika viwanja vya DAR LIVE Mbagala, sasa good news ni kwamba mkali huyo anarudi tena tarehe 31 mwezi huu anaungana na Stamina na Maua Sama.

Show hiyo iliyopewa jina la Tunafunga Jumla Jumla itafanyika katika viwanja vya DAR LIVE Mbagala, unaweza ukabonyeza play kuona walichokizungumza leo baada ya kukutana na waandishi wa habari Dar es Salaam.

Soma na hizi

Tupia Comments