Habari za Mastaa

Ninayofuraha kukuletea hii video mpya ya Nikki wa pili ft Chin Bees ‘Sweety Mangi’

on

Ni July 29, 2016 headlines zinamilikiwa na rapper Nikki wa Pili kutokea kundi la WEUSI ameachia video mpya ya single yake iitwayo Sweety Mangi aliyomshirikisha Chin Bees.Video imetayarishwa na director Justin Compus wa Afrika Kusini.

Ukishaitazama usiache kutoa yako ya moyoni ili Nikki wa Pili, Chin Bees wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..

ULIIKOSA HII INTERVIEW YA NIKKI WA PILI KWENYE STUDIO ZA MILLARAYO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA 

Soma na hizi

Tupia Comments