Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Tanzania inaanza na mtihani huu kufuzu World Cup 2022 nchini Qatar

on

Shirikisho la soka ulimwenguni kupitia CAF leo limetangaza ratiba ya michezo ya awali ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar, ratiba hiyo imetolewa kwa upande wa Afrika kwa timu zinazoanzia round ya kwanza ikiwemo Tanzania.

Tanzania wao wamepangwa kuazana round ya kwanza kabla ya kuingia makundi kucheza dhidi ya Burundi, mchezo ambao wataanzia ugenini, wakati majirani zao Rwanda wamepangwa kucheza dhidi ya Shelisheli, michezo hiyo itachezwa kati ya September 2 hadi 9 2019.

VIDEO: Kauli ya Kaseja baada ya kuichezea Taifa Stars baada ya miaka 6

Soma na hizi

Tupia Comments