AyoTV

VIDEO: Baada ya Azam FC na Yanga kusonga mbele, ishu ya Ajib, mwanasaikolojia kafunguka

on

Baada ya timu mbili za Tanzania kuondolewa katika michuano ya kimataifa na kubakia Azam FC wanaocheza Kombe la shirikisho Afrika na Yanga SC wanaocheza Ligi ya Mabingwa Afrika, huku KMC na Simba SC kuondolewa katika michuano hiyo.

Kuna mengi ambayo yamejitokeza kuna mashabiki ambao wamelia lakini wapo wengine waliokuwa wanapeleka lawama zao kwa kocha wao Patrick Aussems kwa kikosi chao kushindwa kufanya vizuri, kingine ni ishu ya Ibrahim Ajib kupishana na michuano ya Ligi ya Mabingwa kama ambavyo Zlatan alikuwa anapishana na taji la UEFA Champions League, Bonyeza PLAY kutazama.

VIDEO: Niyonzima kaeleza kilichotokea kati yake na Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments