Top Stories

VIDEO: Tathmini ya Kikeke kwa Taifa Stars, Amunike vipi aondoke?

on

Mtangazaji wa shirika la utangazaji la Uingereza idhaa ya Kiswahili BBC Salim Kikeke ambaye ni mtanzania, amepata nafasi ya kuongea na AyoTV baada ya kumalizika kwa hatua ta makundi ya michuano ya AFCON 2019 hususani namna walivyomaliza Taifa Stars.

“Nadhani kutokuwepo kwa michuano ya mataifa ya Afrika kwa miaka 40 tumepoteza uzoefu mkubwa sana na hilo limetuathiri kwa sababu ya masuala ya kadha wa kadha kutokuwepo katika michuano mkubwa kumewanyima wachezaji wetu fursa ya kupata kucheza kwenye club kubwa”>>> Kikeke

“Tanzania watatakiwa kuwa na mipango ya muda mrefu kama watataka kubaki na mwalimu au kama watataka kutobaki na mwalimu lakini isiwe kazi ya kufukuza tu meneja na akiongoza mechi mbili akifungwa anafukuzwa tena hapo tunakuwa hatuna mipango”>>>Kikeke

VIDEO: Tanzania yatolewa kinyonge AFCON, Hii ndio kauli ya Samatta

Soma na hizi

Tupia Comments