Top Stories

VIDEO : DC JOKATE ASHUHUDIA MGAMBO WAKIRUSHIANA RISASI KISARAWE

on

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe,  Jokate Mwegelo leo October 27 2018 amefunga mafunzo ya awali ya Jeshi la Akiba ( Mgambo) katika kata ya Kibuta wilayani Kisarawe.

Sasa miongoni kilichofanyika ni hii nimekusogezea ya Jeshi la Akiba wakirushiana Risasi tazama hapa.

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments