Top Stories

Rais Magufuli atinga Kanisani kwa Wasabato Magomeni, awapa pesa

on

President John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli September 2, 2017 waliungana na Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Ushirika wa Magomeni Mwembechai Dar es Salaam kusali Ibada ya Sabato.

Ibada iliongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Baba Askofu Mark Walwa Malekana aliyekuwa pamoja na Askofu wa Jimbo la Mashariki Kati, Baba Askofu Joseph Mgwabi na Askofu wa Jimbo la Kusini Mashariki, Baba Askofu Albert Nziku.

Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni…tazama kwenye hii video hapa chini!!!

“Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments