Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Barnaba mipango yake mipya ya kufungua kanisa lake……

on

Miongoni mwa wasanii walioguswa yaani haipiti dakika au saa lazima utaona anapost kuhusu dini kwenye mitandao yake ya kijamii ni msanii Barnaba ambae leo August 11, 2016 ameipa heshima millardayo.com & Ayo TV na kuzungumzia mikakati yake ya kufungua nyumba ya ibada (Kanisa).

Mimi ni Pastol ambae najitegemea mimi kabla sijawa msanii nilikuwa nasoma sana masuala ya dini lakini sifikiri kuwa Pastol bali nitaifanya kazi ya Mungu mpaka pale mauti yatakaponikuta na ndio maana nimebarikiwa vitu vingi ni msanii naimba nawatungia wasanii nyimbo zao’– Barnaba

Nafikiri kufungua Kanisa langu na nitawapa watu waliendeshe mimi mwenyewe kwahiyo siku mwenyezi Mungu akibariki ndoto zangu basi lazima nitafanikishe hili sio lazima mkoani popote pale nitaangalia japokuwa asilimia 75 mkoani’– Barnaba

Msikilize zaidi Barnaba kwa kubonyeza play hapa chini

ULIIKOSA HAYA MAPYA YA Q CHILLAH BONGO FLEVANI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments