Mix

Video: Ommy Dimpoz akutana na Steve Nyerere ‘Tusahau yaliyopita’

on

Ni Ommy Dimpoz na Steve Nyerere ambao wasanii hao wawili siku kadhaa zilizopita waliwahi kuchukua headlines mitandaoni, sasa leo Feb 27, 2019 wamekutana kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na wamekubali mvelewamemaliza tofauti zao na kuanza safari mpya.

Soma na hizi

Tupia Comments