Habari za Mastaa

VIDEO: “Wakongwe wamefulia, hawawezi kutunga nyimbo?”-Bwana Misosi

on

Mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva Bwana Misosi ambaye alitamba na ngoma yake ya ‘Nitoke Vipi?” amekaa kwenye Exclusive interview na Ayo TV na amefunguka kuhusu kurudi kwenye game pamoja na sababu za ukimya wake wa muda mrefu.

Bwana Misosi ambaye amefunguka pia kuhusu maisha yake amesema kuwa kwa sasa ana ngoma nyingi ambazo ataziachia hivyo mashabiki wakae tayari kuzipokea. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho alichokizungumza Bwana Misosi.

VIDEO: MREMBO ANAEPIGA VITA KUJICHUBUA “UNAWEZA PATA KANSA HATA YA KIZAZI”

Soma na hizi

Tupia Comments