Mix

AUDIO: Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mtoto aliyeteswa kwa miezi minne

on

Baada ya kuwepo taarifa juu  ya mtoto anayetajwa kuwa umri wa miezi miwili kufichwa ndani na mwanamke mmoja, tayari Jeshi la Polisi jijini Mwanza limetolea ufafanuzi kuhusu suala la mwanamke huyo kumficha na kumtesa mtoto huyo zaidi ya miezi 12. 

millardayo.com imezungumza na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi na ameeleza ukweli wa tukio hilo.

“Hili tukio ambalo sio la kupendeza limefanywa na mwanamke mmoja tuliyemkamata kwa tuhuma za kumfanyia ukatili mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi miwili kutoka Sengerema na kumfanya awe kwenye hali mbaya sana kiafya. Huyo mwanamke alikua akimfungia ndani sasa kuna siku aliacha mlango wazi watoto wakaingia wakamkuta akiwa na majeraha ya kupigwa mwili mzima” – Kamanda Msangi

Kuipata stori kamili, bonyeza Play hapa chini.

VIDEO: Ulipitwa na Ujenzi wa kituo maalumu  cha Mama na Mtoto kinachojengwa na Serikali ya Mkoa wa Dar es salaam na Korea Kusini unaoghrarimu shilingi Bilioni 8 na milioni 800. Tazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments