on air with millardayo

Bongo Sasa Mwanafunzi anaweza kujisomea hata kwa SMS

on

Kwa miaka kadha Serikali na wadau mbalimbali wa Elimu wamekuwa wakitafuta namna ya kuikwamua Elimu ya Tanzania kutokana na kuwepo kwa ufaulu usioridhisha kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari.

Hapa leo ninakuletea good news kutoka kwa Malkia wa Nguvu Faraja Nyalandubaada ya kugundua watu wanakaa na simu zao sana amekuja na mfumo wa wanafunzi kusoma na kujifunza kupitia sms. Mfumo wa sms ambao utamsaidia mwanafunzi kujifunza mahali popote na wakati wowote,.

Mfumo huu unajulikana kama Makini SMS na umewalenga wanafunzi ambao wako kwenye mfumo wa mawasiliano ya simu. Wanafunzi wataweza kufanya maswali juu ya masomo tisa  ambayo yapo sekondari na masomo yote yametengenezwa kwa mtaala wa Taifa

UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HILI KUIFAHAMU FURSA HII YA KIPEKEE SANA

Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGOandika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

ULIMISS VIDEO YA KIJANA ALIYETENGENEZA APP YA TIGO BACKUP AKIWA CHINI YA MIAKA 25? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Tupia Comments