Top Stories

Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana

on

Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.

MAAJABU YA MTU ANAYETUMIA MAPAFU YA CHUMA, SHINGONI HADI MIGUUNI KUMEPOOZA “ANA DEGREE YA SHERIA”

Tupia Comments