Gari aina ya Scania lililokuwa likitoka Mkoani Arusha kuelekea Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma limekamatwa na dawa za kulevya aina ya Mirungi bunda 40 sawa na Kg 20.
Kaimu Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Manyara ACP Limited Mhongole amesema gari hilo limekamatwa 15/04/2022 katika kata ya Bonga barabara kuu ya Babati- Kondoa
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
KAMANDA KOVA BAADA YA USHINDI WA SIMBA 1-0 ORLANDO PIRATES ATOA NENO KWA WANA-SIMBA