Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Gumzo!! Kijana aliyekata ofa ya Milioni 11 kwa tajiri namba 1 duniani
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Gumzo!! Kijana aliyekata ofa ya Milioni 11 kwa tajiri namba 1 duniani
Top Stories

Gumzo!! Kijana aliyekata ofa ya Milioni 11 kwa tajiri namba 1 duniani

January 31, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Kijana mwenye umri wa miaka 19 aitwae Jack Sweeney amekataa ofa ya $ 5000 ( Tsh. Milioni 11.5 ) kutoka kwa Tajiri namba 1 Duniani Elon Musk ambaye yupo tayari kumlipa ili aifute akaunti feki ya twitter inayotweet safari za Ndege binafsi ya Bilionea kila inapopaa.

Akaunti hiyo ambayo Jack ameipa jina la Elon Jet ina followers zaidi ya 150,000 na huwa ina-tweet kila Private Jet hiyo inapopaa na kutua pamoja na muda ambao inatumia iwapo angani.

Meseji ambazo zimesambaa mtandaoni zinaonesha Elon akiwa amemtumia Kijana huyo akimuomba aifute akaunti hiyo kwasababu ina hatarisha usalama wa Elon na akamuahidi pia kumpa fedha ambazo zitamsaidia kwenye masomo na vitu vingine.

Kijana huyo amekataa ofa ya Elon na kusema fedha hiyo ni ndogo ukilinganisha na furaha anayoipata kwakuwa moyo wake unapata raha kwa kufanya anachokitaka na kusema raha hiyo haiwezi kununuliwa kwa fedha, hata hivyo Kijana huyo amemshauri Elon kutafuta program itakayomsaidia kublock Ndege yake isiwe inafuatiliwa.

“Inaonesha Elon ameufanyia kazi ushauri wangu na anatumia hizo program napata shida kum-track lakini bado hawajaweza kunizuia”- Sweeney.

IRENE UWOYA AMKANA ARISTOTE BAADA YA KAULI YAKE KUHUSU WEMA ‘SIJAMTUMA’

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: Tweet
Edwin TZA January 31, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Aristote amuomba msamaha Wema kwa kauli yake iliyomkwaza ‘Sikutegemea’ (video+)
Next Article Basi la abiria lapata ajali Arusha, Watu wajeruhiwa, mashuhuda wasimulia (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?