Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Huyu ndiye Katibu Mkuu mpya aliyeteuliwa na Umoja wa Mataifa UN
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Huyu ndiye Katibu Mkuu mpya aliyeteuliwa na Umoja wa Mataifa UN
Mix

Huyu ndiye Katibu Mkuu mpya aliyeteuliwa na Umoja wa Mataifa UN

October 14, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Hatimaye imefahamika kuwa Antonio Guterres, kutoka Ureno ndiye atakayeshika madaraka ya ukatibu mkuu wa UN Januari 1, 2017 baada ya katibu mkuu wa sasa raia wa Korea Kusini Ban Ki-moon kustaafu wadhifa huo.

Inaelezwa kuwa Kamishna huyo Mkuu wa zamani wa shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi, atakabialiana na mgogoro mkubwa tangu Vita Kuu vya Dunia. Gutteres ameteuliwa rasmi Alhamisi ya October 13, 2016 na nchi 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa kuongoza taasisi hiyo nyeti kwa miaka mitano, ikiwa ni baada ya kupokea baraka Alhamisi iliyopita kutoka nchi 15 wanachama wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

Guterres amezitolea wito nchi zenye nguvu duniani kuachana na tofauti zao kuhusu Syria, wakati yakikaribia mazungumzo mapya ya kimataifa kuhusu mgogoro wa Syria ambao umewaua watu zaidi ya 300,000 na kusababisha maefu ya raia wa Syria kukimbilia nje ya nchi tangu mwaka 2001.

ULIMISS TAARIFA YA NAULI ZA NDEGE MPYA ZA AIR TANZANIA? NIMEKUWEKEA HAPA

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: UN
Admin October 14, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AudioMPYA: Davido katua Marekani na kukaa na Tinashe
Next Article Baada ya wasichana 21 wa Chibok kuachiwa huru, 18 wamerudi na watoto….!!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Sports February 2, 2023

You Might also Like

Sports

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

February 2, 2023
Sports

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

February 2, 2023
Sports

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

February 1, 2023
Sports

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?