Video Mpya

Mama mzazi wa Nicki Minaj rasmi kaingia kwenye muziki (+Audio)

By

on

Mama mzazi wa Rapper Nicki Minaj, Carol Maraj ameingia rasmi kwenye muziki na kuachia ngoma yake ya kwanza ‘What Makes You’ July 2,2019 , inadaiwa kuwa mashabiki wa Nicki Minaj wameipokea vizuri ngoma hiyo huku wengine kudhani kuwa angejikita kwenye Hip Hop kama mwanae.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza ngoma hiyo 

VIDEO: MUZIKI WA ALIKIBA UMEMFIKIA KAMANDA WA POLISI KAGERA

Soma na hizi

Tupia Comments