AyoTV

FULL VIDEO: Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo

on

Leo March 22, 2017 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amezitembelea Ofisi za Clouds Media Group kwa lengo la kuwapa pole baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es saalam Paul Makonda kuvamia kituo cha Clouds Media akiwa na askari wenye silaha huku akitaka kipindi alichodai ni chake kirushwe kwenye TV.

Bonyeza Play hapa chini kutazama FULL VIDEO.

VIDEO: ‘Jiulize, Gwajima nina kila kitu nateseka nini?’- Askofu Gwajima

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments