Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Gwajima baada ya kuhojiwa kamati maadili wafunguka “Tumemruhusu aende lakini” (Video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Gwajima baada ya kuhojiwa kamati maadili wafunguka “Tumemruhusu aende lakini” (Video+)
Top Stories

Gwajima baada ya kuhojiwa kamati maadili wafunguka “Tumemruhusu aende lakini” (Video+)

August 23, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amehojiwa kwa zaidi ya saa mbili na kamati ya haki, maadili na madaraka ya Bunge huku shauri lake likitarajiwa kuendelea kesho kutwa.

Akizungumza mara baada ya mahojiano hayo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Emmanuel Mwakasaka amesema wamemaliza kusikiliza shauri la Askofu Gwajima kwa awamu ya kwanza na awamu ya pili itafanyika kesho kutwa.

“Askofu Gwajima ametoa ushirikiano wa kutosha bado suala hili linaendelea kazi yetu kama kamati ni kuchunguza Mbunge anayekiuka maadili na kanuni za bunge tumemruhusu aende lakini shauri lake bado linaendelea,”- Mwenyekiti

Mwenyekiti huyo amesema kwa sasa hawawezi kusema kama akikutwa na hatia atachukulia hatua gani au kupewa adhabu gani kwakuwa zipo nyingi na mwenye kazi hiyo ni Spika wa Bunge pekee yake.

ASKOFU GWAJIMA ALIVYOTINGA BUNGENI DODOMA KUHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

You Might Also Like

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

TAGGED: Bungeni, Dodoma, Gwajima
Edwin TZA August 23, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Askofu Gwajima aomba kubadilishiwa Kiti na Kipaza Sauti alipoingia kuhojiwa (Video+)
Next Article Kauli ya bondia Twaha Kiduku baada ya kupokelewa Moro “Sauti ilikauka” (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?