AyoTV

VIDEO: “Kama Bunge hatuwezi kuhoji, tukahojie wapi?” – Msigwa

on

Mbunge wa Iringa Mjini Mch. Peter Msigwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo June 29, 2017 kuwasilisha maoni kuhusu Miswada mitatu ya Sheria ambapo moja kati ya aliyoyazungumzia ni kutaka Bunge kutoingiliwa na Mihimili mingine katika kazi zake.

VIDEO: Walichosema Lema na Mnyika kuhusu mauaji ya Kibiti 

Soma na hizi

Tupia Comments