AyoTV

VIDEO: Gwajima aongea kwa mara ya kwanza baada ya kutajwa na Paul Makonda

on

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na uzima ameongea na Waandishi wa habari baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya na mkuu wa mkoa Paul Makonda, aliyoyaongea mbele ya Waandishi wa habari kanisani kwake Ubungo yapo kwenye hii video hapa chini.

VIDEO: Askofu Gwajima alivyoingia kituo cha Polisi Dsm kutii wito wa Paul Makonda

HUTAKI KUPITWA? Install APP ya MILLARD AYO kwenye Android na IOS ili upate kila habari mpya inayoingia, usiache ku-subscribe “millardayo” kwenye Youtube na kujiunga na Twitter, Facebook na Instagram kwa jina hilohilo la @millardayo ili usipitwe na chochote.

Soma na hizi

Tupia Comments