AyoTV

VIDEO: Askofu Gwajima alivyoingia Polisi kituo cha kati kutii wito wa Makonda

on

Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima amefika kituo cha Polisi cha kati Dar es salaam kukutana na Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro kutii wito wa Mkuu wa mkoa Paul Makonda baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 waliotajwa kwenye sakata la dawa za kulevya.

VIDEO: Yusuph Manji alivyoingia kituo cha Polisi cha kati leo Feb 9 2017

Soma na hizi

Tupia Comments