Mix

Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi leo jioni

on

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.

Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii >>> “FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba kwaajili ya hili”

UMEPITWA?: Tazama kwenye hii video hapa chini Askofu Gwajima aachiwa na Polisi jioni hii

VIDEO: Alichoongea Askofu Gwajima kwa mara ya kwanza toka alipotajwa kwenye orodha ya dawa za kulevya ya Paul Makonda, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments