Video Mpya

VideoMPYA: Ommy Dimpoz kaachia wimbo mpya baada ya kupona “Ni Wewe”

on

Msanii wa Bongofleva Ommy Dimpoz ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi toka June 2018, kiasi cha kupelekea kufanyiwa upasuaji wa mfumo wake wa chakula mara mbili katika nchi za Afrika Kusini na Ujerumani, leo amerudi Tanzania na kuachia video ya Wimbo Mpya “Ni Wewe”

KAMA ILIKUPITA LIVE: EXCLUSIVE INTERVIEW OMMY DIMPOZ AKIFUNGUKA YOTE KWA MILLARD AYO

Soma na hizi

Tupia Comments