Top Stories

“Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa” – Rais Magufuli

on

Leo September 11, 2017 Rais Magufuli amemwapisha Prof Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu Mpya wa Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam ambapo atachukua nafasi ya aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande ambaye amestaafu.

Kuapishwa huko kuna siku moja baada ya Rais Magufuli kumteua Prof Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania baada ya kukaimu nafasi hiyo.

“Sikuja kutafuta Mchumba” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments